• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisini |
KIBONDO DISTRICT COUNCIL
KIBONDO DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serilali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Msingi wa Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Division ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Division ya Elimu Awali na Elimu Msingi
      • Division ya Elimu Sekondari
      • Division ya Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Division ya Maendeleo ya Jamii
      • Division ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Division ya Kilimo Mifugo na Uvuvi
      • Division ya Viwanda Biashara na Uwekezaji
      • Division ya Mipango na Uratibu
      • Division ya Miundombinu na Maendeleo Vijijini na Mjini
    • Vitengo
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
      • Kitengo cha Usafi na Usimamizi wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili
      • Afya, Elimu na Maji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

DCC KIBONDO YA PENDEKEZA KUGAWANYWA KWA JIMBO LA MUHAMBWE

Posted on: March 13th, 2025

Wajumbe wa Kamati ya  Ushauri ya Wilaya Kibondo wameridhia mapendekezo ya kuligawa Jimbo la Muhambwe kuwa Muhambwe Mashariki na Muhambwe Magharibi.

Mapendekezo hayo yamepitishwa katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya kilichoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Mhe Aggrey Magwaza na kuhudhuriwa na Wajumbe mbalimbali wakiwemo Kamati ya Usalama,wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri, Waheshimiwa Madiwani, Watendaji wa Kata, Viongozi wa Dini na Viongozi wa Vyama vya Siasa na kufanyika tarehe 13 machi 2025 katika Ukumbi wa Mkutano wa Chama cha Walimu (CWT).

Jimbo hilo la Muhambwe linaundwa na Kata 19, ambazo ni Kibondo mjini, Biturana, Kumwambu, Bitare, Bunyambo, Kitahana, Misezero, Murungu, Rusohoko, Busagara, Busunzu, Itaba, Kagezi, Kizazi, Kumsenga, Mabamba, Mukabuye, Nyaruyoba na Rugongwe.

Katika mapendekezo hayo Jimbo la Muhambwe Mashariki linapendekezwa kuundwa na Kata 9 ambazo ni Kibondo mjini Biturana, Kumwambu, Bitare, Bunyambo, Kitahana, Misezero, Murungu Pamoja na Rusohoko na Muhambwe Magharibi kuundwa na Kata 10 ambazo ni Busagara, Busunzu, Itaba, Kagezi, Kizazi, Kumsenga ,Mabamba, Mukabuye, Nyaruyoba na Rugongwe.

Mapendekezo hayo yamejadiliwa kutokana na Ukubwa wa jimbo kuwa na Kilomita za Mraba 13,406,  mpangilio wa Makazi ya Watu, hali ya Kiuchumi, Miapaka ya Kiutawala, upatikanaji wan jia za Mawasiliano na hali Kijiografia ya eneo la Jimbo hilo.

Aidha Wajumbe wa Kikao hiko wamependekeza kugawanywa kwa Jimbo hilo la Muhambwe ili kusaidia Wananchi kupata huduma karibu na maeneo  ya makazi yao bila kutumia gharama kubwa za usafiri.

Vilevile mgawanyo huo utapelekea viongozi na watumishi kuwahudumia wananchi kwa urahisi kwa kuwasogezea huduma karibu na makazi yao na hatimaye kuimarisha ufanisi katika utendaji kazi hali itakayopelekea kuchochea maendeleo ya wananchi wa Wilaya.

Akifunga kikao hicho Mkuu wa Wilaya Mhe: Kanali Aggrey Magwaza amesema mapendekezo hayo yanatarajiwa kuwasilishwa katika kikao cha Maendeleo ya Mkoa Kigoma (RCC) ili kuendelea na atua zaidi katika upatikanaji wa maeneo hayo ya kiutawala.

Matangazo

  • KUITWA KWENYE MAFUNZO ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA July 14, 2024
  • TANGAZO LA KUSITISHA WITO WA USAILI April 27, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 05, 2023
  • BADILIKO LA TANGAZO LA KAZI May 05, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA HALMASHAURI WAPEWA AGIZO LA KUHAMASISHA LISHE SHULENI

    May 16, 2025
  • MADIWANI WA HALMASHAURI YA KIBONDO WAPONGEZWA JUU YA UTENDAJI KAZI WAO

    May 07, 2025
  • WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

    May 01, 2025
  • WANANCHI WA VIJIJI VYA RUGUNGA NA KITAHANA KATIKA KATA YA KITAHANA WATOA KERO ZAO KWA MKUU WA WILAYA KIBONDO

    March 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viungio vya Haraka

  • Constructions of Latrines
  • Investment Reports
  • Construction of Four Stall at Nanenane Bus Stand
  • Construction of Health Staff House at Kifura
  • Rehabilitation of Canteen at CotC Kibondo
  • Construction of Administration Building
  • OPRAS FOMU
  • Sick-Sheet Forms
  • Upimaji wa Viwanja Eneo la Kijiji cha Nengo

Zinazohusiana

  • UTUMISHI
  • PO-RALG
  • NECTA
  • PUBLIC PROCUREMENT REGULATORY AUTHORITY
  • UTUMISHI PORTAL
  • KIGOMA REGION
  • WANANCHI PORTAL
  • INVESTMENT CENTRE
  • AJIRA
  • Ministry of Industries

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana nasi

    KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET

    Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO

    Simu ya Mezani: +255 028 282 0084

    Simu: +255 028 282 0084

    Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma
    • Kanusho

Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.