KITENGO CHA UVUVI.
HUDUMA ZA UGANI
Kutoa elimu ya ufugaji bora wa samaki kwa njia ya mabwawa.
Kutoa elimu ya uvuvi endelevu katika mabwawa ya asili na mito.
UKUSANYAJI WA MADUHULI YA SERIKALI
Ukusanyaji wa maduhuli ya Halmashauri kupitia kutoa vibali/leseni za uvuvi, vyambo vya samaki.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.