Zoezi la Uboreshaji daftari la kudumu la Wapiga kura linaendelea katika vituo zaidi ya 400 wilayani kibondo huku wananchi wakijitokeza kwa wingi kujiandikisha.Maafisa Wandikishaji katika kituo cha kujiandikisha cha Jumba la maendeleo Kibondo Mjini wakiwahudumia wananchi tarehe 5/10/2019.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.