Ujenzi wa kituo cha kuhifadhi na kuuza mazao ya wakulima katika kata ya Kagezi chaanza kujengwa.Mradi huu unajengwa na Halmashauri ya wilaya ya Kibondo kupitia ufadhili wa shirika la UNCDF kwa jumla ya gharama ya T.sh 286,604,800 milioni.Ujenzi wa mradi huu utakapokamilika utakuwa msaada mkubwa kwa wakulima wa kata takriban nane ambao wataweza kuhifadhi na kuuza kwa bei nzuri mazaao yao.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.