Ujenzi wa kituo cha Afya katika kata ya Nyaruyoba imefika katika hatua za mwisho za ukamilishaji.Kukamilika kwa kituo hicho itakuwa mkombozi kwa watu wa kata hiyo zaidi ya wananchi elfu nne ambao wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kufuata huduma za matibabu katika kata zingine au wilayani.Ujenzi wa kituo hicho imejengwa na serikali.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.