Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Ndg Rutema D.M amefanya ukaguzi wa kushtukiza wa kukagua baadhi ya Malori yanayosafirisha zao la Muhogo kwenda nchi za jirani,ukaguzi huo wa kukagua idadi ya magunia na kuangalia kiwango cha ushuru uliolipwa kwa mujibu wa risiti aliufanya katika kata ya Rusohoko katika kijiji cha Kitahana tarehe 4/9/2020 saa 5.20 jioni ambapo alikagua baadhi ya magari na kujiridhisha na kuwaagiza wafanyabiashara wa zao hilo kuwa wazalendo kwa kulipa maduhuli ya serikali bila usumbufu.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.