Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Ndg. Rutema D.M. akipokea mbegu za zao la Alizeti toka kampuni ya ZAMSEED kiasi cha tani moja na nusu.
Mbegu hizi zimenunuliwa na Halmashauri kwa gharama ya Shilingi millioni thelathini(TZS.30,000,000.00) kutoka fedha za mapato ya ndani. Lengo la kuanzisha kilimo cha Alizeti katika Wilaya ya Kibondo ni kuinua kipato cha wakulima na kupunguza tatizo la uhaba wa mafuta ya kula nchini.
KIBONDO DISTRICT COUNCIL, KIBONDO TOWNSHIP IHULILO STREET
Anuani ya Posta: P.O.BOX 43, KIBONDO
Simu ya Mezani: +255 028 282 0084
Simu: +255 028 282 0084
Barua pepe: ded@kibondodc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Kibondodc .Haki zote zimehifadhiwa.